Zinazobamba

MANENO MATUMU NA YENYE TIJA ALIOANDIKA LOWASSA KWENYE FACEBOOK YAKE HAYA HAPA,SOMA

kupitia ukurasa wake wa facebook Lowassa kaweka ujumbe huu alfajiri ya leo Oktoba 20;-_Tutakuza ushirikiano wa Kimataifa wenye tija na Ujirani mwema. Tutatetea haki za binadamu, usawa wa nchi na kuimarisha ushiriki wa Tanzania katika diplomasia ya kimataifa.;_ameandika Lowassa


Hakuna maoni