Zinazobamba

MTAELEWA TU,LOWASSA ATIKISA MBEYA TENA,KILA KONA,MJI WA SIMAMA SIKU YA PILI,SOMA HAPO KUJUA





LICHA ya kuhahirisha mkutano wake jana,Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda Ukawa,Edward Lowassa leo ameendelea na mafuriko yake ndai ya Mkoa wa Mbeya na viungo vyake,

Huku shughuli zote za kijamii,barabara kufungwa,pamoja na maduka,leo amefanikiwa kutikisa katika maeneo yate

Maoni 3

Bila jina alisema ...

leo hii kutoka mbeya nimepata neno zito,neno hilo limo kwenye ujumbe wa moja ya maelfu ya mabango yenye kiila aina ya sifa ambazo mheshimiwa edward ngoyai lowassa amekuwa akipewa.lakini bango hili la leo limenigusa,limefunga kazi.bango hilo lililoandikwa kwa wino mwekundu wa kusisitiza linasema hivi :'"UONGOZI NI KARAMA"huu ndiyo ujumbe wa ukweli na maalum kwetu watanzania.uongozi ni karama na Mwenyezi Mungu amemshushia mja wake edward ngoyai lowassa KARAMAYA UONGOZI na hicho ndicho watanzania wanachokitafuta TUONGOZWE NA MTU MWENYE KARAMA YA UNGOZI,FULL STOP.TUMEFUNGA KAZI..tarehe 25 octoba 2015 njoo,itakua jumapili angavu na tulivu tutaelekea kwa mamillion kwenye vituo vyetu vya kupiga kura mawazo yetu UKAWA magoli matatu bila [3-0] tutapiga kura zetu,tutamchagua mheshimiwa EDWARD NGOYAI LOWASSA.tusisahau mbunge UKAWA,na diwani UKAWA.hiyo ndiyo maana kamili ya TATU BILA [3-0]

Bila jina alisema ...

WANANCHI WENZANGU,WATANZANIA.ASALAAM ALEYKUM,BWANA YESU APEWE SIFA.NAITWA ANGOMWILE MALOFU-MWALUBALA NIMEYASOMA MAELEZO YA ANONYMOUS OCTOBER 19,AT 1.54 AM.AMA KWA HAKIKA NIMEWIVA NAYO.ILA,NA MIMI KESHO JUMANNE TAREHE 20 OCTOBA 2015 KWA KUPITIA BLOG HII HII FULLHABARI BLOGSPOT CHINI YA KICHWA HIKI HIKI CHA HABARI "MTAELEWA TUU,LOWASSA ATIKISA TENA MBEYA......"NA MIMI NITACHANGIA .SOMO LANGU NITAKUJA NA "SABABU SABINI NA TANO [75] ZA KUMCHAGUA MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA. RUDIA 75.NAOMBA TUWE PAMOJA,MUZISOME NA MFANYE PRINT KWA MAELFU NA MUWAGAWIE WAFUASI WA LOWASSA-MABADIRIKO,MABADIRIKO-LOWASSA NCHINI KOTE.YAANI NAWAAMBIENI,MTAFURAHI.WANACHEZA NA MTU MWENYE KARAMA? NGOJA TUANZE KUWAONYESHA.

Bila jina alisema ...

SALAAM ALEKUM,TUMSIFU YESU KRISTU.NAITWA ANGOMWILE NAMSHUKURU MUUMBA WETU KWA KUNIAMSHA SALAMA JUMANNE YA LEO TAREHE 20 OCTOBA 2015.TUMEBAKIZA SIKU NNE YA TANO TUNADAMKIA KUPIGA KURA ZETU KWENYE HUU UCHAGUZI MKUU WA KIHISTORIA.NILISEMA LEO NITAZIWAKILISHA SABABU 75 ZA KUMCHAGUA MHESHIMIWA LOWASSA AWE NDIYE RAIS WETU AJAYE. HAPA NAORODHESHA: 1.NI MCHA MUNGU 2.ANAWAPENDA WATANZANIA 3.ANAYE MKE MWAMINIFU 4.ANA UWEZO MKUBWA 5.NI MWADILIFU-KIMATENDO ANAICHUKIA NA KUIKEMEA RUSHWA 6.MTETEZI WA ELIMU BURE 7.NI MKWELI 8.MFALME WA MAAMUZI MAGUMU 9.ANA MVUTO WA KIPEKEE 10.KIPENZI CHA WATANZANIA 11.ANAOGOPWA NA MAHASIDI 12.ANATISHA KWA WAVIVU 13.KIBOKO CHA WATORO 14.KIBOKO CHA WALEGEVU 15.MFALME WA HARAMBEE TANZANIA 16.MPENDA KAZI MKUU 17.HAVUMILII UZEMBE 18.MTU WA MALENGO 19.ANAUCHUKIA UMASKINI 20.ANAWACHUKIA WEZI 21.ANAWACHUKIA VIONGOZI WAONGO 22.NI MTANASHATI WA DARAJA 23.ANAUNGA MKONO SERIKALI TATU 24.ATAIFUMUA BAJETI-KANJANJA 2015/16 25.BWANA KILIMO 26.BWANA MIFUGO 27.MTAALAM BIASHARA ANAWAPENDA WAFANYA BIASHARA 28.ANAKUBALIKA KIMATAIFA 29.ANAKUBALIKA MAREKANI 30.ANAKUBALIKA CHINA 31.ANAKUBALIKA ULAYA 32.ANAWAJALI WAFUNGWA 33.ANAJALI MISIBA NA VIFO 34.ANA MPAGO MZIMA NA WASANII WOOOTE 35.ANAWAJALI MAMA LISHE 36.ANAWAJALI BABA LISHE 37.RAIS WA BODA-BODA 38.RAIS WA BAJAJI 39.ANAWAJALI MADEREVA 40.ANAWAJALI ABIRIA 41.ANAKATAZA MANYANYASO 42.ANAWAJALI ALBINO 43.BWANA "FAIDI MAJI ZIWA VICTORIA" 44.BWANA MAKAO MAKUU-DODOMA 45.ANAWAJALI WAZANZIBARI 46.ANA UTU NA HESHIMA 47.ANALICHUKIA NENO"HAPA KAZI TUU"48.ANAWAPENDA MAJIRANI ZETU 49.ANAUPENDA USAWA WA KIBIASHARA 50.ANAWAPENDA WANA MICHEZO 51.ANAPENDA UKOMAVU WA UCHUMI 52.MTAALAMU KILIMO CHA UMWAGILIAJI 53.ANAIPENDA DAR-ES-SALAAM 54.ANAIPENDA MBEYA 55.ANAIPENDA MTWARA 56.ANAIPENDA MWANZA 57. ANAIPENDA MIJI YOTE TANZANIA 58.ANAVIPENDA VIJIJI VYOTE TANZANIA 59.ANAPIGANIA PATO LA UTALII KUKUA 60.ANACHUKIA BARABARA FINYU NA MBOVU 61.ANAWACHUKIA MAJANGILI 62.ANALIPENDA SHIRIKA LETU LA NDEGE-ATC- 63.ANAPENDA VIWANDA MALIGAFI 64.ANAICHUKIA NJAA 65.ANAPENDA MAZINGIRA SAFI 65.HAIPENDI MV BAGAMOYO MBOVU 66.HAPENDI KUPANDISHWA KWA NAULI 67.KATANGAZA VIVUKO VYOTE BUREEE 68.ANAWAPENDA WAFANYAKAZI 69.RAFIKI MKUU WA WAMACHINGA 70.ANA TIMU IMARA MNO ILIYOMZUNGUKA71.ANA USONGO NA MAENDELEO YA HARAKA 72.ANAIJUA TANZANIA 73.ANA WEPESI WA KUELEWA NA KUKUBALI 74.NI MVUMILIVU WA KUPINDUKIA NA;75.NI MWANA SIASA GWIJI,MKOMAVU MNO. NAIWAKILISHA HII HOJA YANGU KUU YA KITAIFA MIKONONI MWA NYINYI WATANZANIA WENZANGU.IPITIENI NENO KWA NENO NA ISAMBAZENI KOTE.MWISHO WA SIKU JUMAPILI TAREHE 25 OCTOBA 2015 TUWAHI VITUONI KWA MAMILION ILI TUWEZE KWA NJIA YA KURA KUMKABIDHI NCHI MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA. NI MIMI MTANZANIA MWANAMABADIRIKO ANGOMWILEMALOFU MWALUBALA.