NAPE ACHAFUA HALI YA SAFARI YA MATUMAINI,SOMA HAPO KUJUA ZAIDI
Kauli aliyoisema Katibu mwenezi na itikadi wa chama cha Mapinduzi CCM
Iliyokuwa mwiba kwa lowassa hii hapo soma ushuhudie
"Hatutamuweka mgombea urais CCM ambaye alishawahi kuwa na kashfa tujipe kazi ya kuanza kumsafisha wakati wenzetu wanasonga mbele kupiga kampeni,kama ulikula bila kunawa utajisafisha mwenyewe,kati ya hasira walizo nazo watanzania ni kwa viongozi waliowahi kuwa na mashaka nao,kamwe hatuwezi kufanya kosa hilo."
Hakuna maoni
Chapisha Maoni