Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, awahutubi wakazi wa mji wa Mpanda
Kiongozi wa chama cha ACT
Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubi wakazi wa mji wa Mpanda mkoani
Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara za kutambulisha
viongozi wake.
Mwanaharakati na Mshauri wa chama
cha ACT Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda
mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara ya
kutambulisha viongozi wake.




No comments
Post a Comment