HABARI KUBWA LEO,.KUMEKUCHA URAIS CCM, YALIYONENWA SASA WAZI WAZI,JAJI AGUSTINO AJITOSA ,MITETEMEKO KUNYWEA SOMA HAPO KUJUA
![]() |
| pichani ni Jaji Ramadhani akichukua fomuya Urais leo Mkoni Dodoma akiongozana na Mkewe |
HATIMAYE makundi
hatari ndani ya chama cha Mapinduzi CCM yaliyojitokeza kutokana na Makada wake
wanaotaka Urais kwenye chama hicho yamepatiwa dawa,baada ya Jaji Agustino
Ramadhani kujitokeza na kuchukua fomu ya Urais .Mtandao huu
umedokezwa.Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo.
Taarifa za kuaminika ambazo mtandao huu
umepenyezewa kutoka ndani ya Chama hicho kikongwe zinasema kuibuka kwa Jaji
Ramadhani kutajwa kuwa ni mwarubaini kwa makada wa Chama hicho waliojiapiza kufa
na CCM endapo watakatwa majina yao.
Makada hao wakiongozwa na Waziri mkuu
aliyejiuzulu kwenye Kashfa ya Ufisadi kwenye Kampuni ya Tata ya Richmound
Edward Lowassa ambapo mara kwa mara amekuwa akijiipiza kwa kupitia marafiki
zake akisema ni “Bora CCM imeguke kuriko yeye kukosa Urais mwaka huu”.
Jaji Agustino Ramadhani amechukua Fomu hiyo ya
Urais leo Mkoani Dodoma huku akijinasibu kukuza uchumi wa Tanzania na kutatua
tatizo la Ajira anatajwa viongozi wandamizi wa Chama hicho kuwa ndio
itakuwa mwisho na Makundi yanayotajwa kukitesa chama hicho na kupelekea
kudhohofika .
“Hapa makundi ndio basi tena teyali
tumeyazima nakwambia huyu hana mpinzani kwa hao mafisadi wanaohonga pesa kwa
watu, maana chama chetu kinambinu hatuwezi kupelekeshwa na mafisadi
wachache,wakati chama hichi chenye viongozi wengi na waaminifu kwa jamii”amesema
Kiongozi Mmoja wa CCM kwa sharti la kutatajwa jina lake mtandaoni.
Sifa ambayo inatwajwa na CCM kwamba
Jaji huyo ambaye alikuwa Luteni Kanali ndani ya Jeshi la Wananchi (JWTZ)kwenye miaka
1978 inaelezwa kwamba ni mzaliwa kutoka Visiwani Zanzibar ,tena anaelezwa pia
hana Kashfa ya Ufisadi inayomkabili ambayo haitawapa kazi kumnadi kwenye
Kampeni endapo Jina lake likipita.
“Sikiliza kwa sasa hali muungano imekuwa
mbaya sana maana hata wewe shahidi kwahiyo kuingia Jaji Ramadhani kutarudisha
Hadhi ya Muungano ambayo ilipotea kwa mda mrefu na pia huyo mtu ni mchapa kazi
sana”
Ameongeza kuwa kwa kusema “harafu huyu
sio hao wengine wamechafuka sana kwenye Kashfa kubwa za Ufisadi unategemea CCM
ni wajinga sana wamteue mtu kama huyo harafu tuwape upenyo UKAWA,maana miaka ya
leo vyama vya Upinzania vimekuwa sana na CCM hatuwezi kufanya Makosa”
HISTORIA YAKE
Taarifa zake zinaonyesha kuwa pia amesoma
shule mbalimbali za msingi Mpwapwa mkoani Dodoma 1952 -1953
nikaenda Town School-Tabora na pia akasoma darasa la tatu hadi la nne mwaka
1954-1956 na darasa la sita na saba na akasoma
KazelHill ambayo kwa sasa inatwa Shule ya Msingi Itetemia mwaka 1957-1958.
Na darasa la nane tu mwaka 1959 na akarudi kusoma Mpwawa.
Pia,
Mwaka 1960-1965 alijiunga na Tabora School kwa ajili ya masomo ya kidato cha
kwanza hadi cha sita. Pai akafaulu na
kuchjaguliwa kujiunga
na kuchkua shahada ya Sheria na ilipofika Machi 1970 na kuhitimu elimu yake hiyo.
Taarifa hiyo inaelezwa kuwa mwishoni mwa Machi wa mwaka huo huo wa 1970 akajiunga na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), na kuingia jeshini kama mwanasheria raia mpaka kipindi cha mafunzo ya kijeshi akaenda kwenye mafunzo
na baada akarudi kuitumikia JWTZ.

Na lipofika mwaka 1971 akapewa kamisheni kambi
ya Mgulani akiwa Luteni (nyota mbili). Na kuendelea na jeshi hadi mwaka 1977, nakuhamishiwa na Brigedi ya Faru-Tabora nikiwa na cheo cha Meja.
Taarifa za Jaji huyo kuingia kwenye kinyang’anyiro cha Urais ndani ya CCM hiyo ziliibuliwa na Magazeti yanayotoka mara moja kwa wiki ambayo ni Gazeti Mawio na Raia Mwema pia vilevile mwaka 1978, , rais wa Zanzibar na akumteua kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Zanzibar na
kipindi hicho Mwanasheria Mkuu wa Serikali alikuwani Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Damian Lubuva.
Aidha, Oktoba 1978 akateuliwa kuwa Jaji Mkuu
wa Zanzibar. Na ilipofika Machi 1979 alirudishwa JWTZ na baada ya muda mfupi akapelekwa kwenye vita ya Uganda , na kupewa cheo cha Luteni Kanali na kwenye vita hiyo alikuwa anaendesha mahakama za kijeshi.

Vilevile baada ya Vita ilipokwisha akarudi
zake Zanzibar. NaJanuari 8 mwaka 1980 akaapishwa kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar, wakati
huo akiwa na cheo
cha Luteni Kanali. Huku akiendelea na Ujaji Mkuu Zanzibar hadi Septemba 1989
alipoapishwa Jaji Mkuu Zanzibar Hamid Mahamod Hamid.
Hata hivyo Juni 23 mwaka 1989 aleteuliwa kuwa
Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania hadi mapema wiki hiyo alivyoteuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania.
Chanzo cha FULLHABARI.BLOG kinaoenyesha kuwa aliteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani
hapa Bara ndiyo sababu ya kuacha ujaji Mkuu Zanzibar.
Januari 1993 akateuliwa kuwa Makamu
Mwenyekiti katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuendelea nayo na nafasi hiyo
hadi Januari 2003 na Oktoba 2002 mpaka alipoteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ambapo kipindi c cha miaka mitano katika
tume ZEC kinamalizika Oktoba mwaka huu
Novemba 2001, aliteuliwa kuwa Jaji wa
Mahakama ya Afrika Mashariki nafasi ambayo alitakiwa kumaliza kipindi cha
miaka sita Novemba mwaka huu.

KUHUSU NDOA
Jaji huyo mwenye aiba ya upore anamke mmoja ambaye Mungu amebahatik kupata watoto wanne, wawili ni wasichana na wawili ni wavulana.
Mtoto wake wa kwanza anaitwa Francis (30)
huyu ni mwanasheria na anafanyakazi ya uwakili Manchester, Uingereza, Brigeth,
huyu ana shahada ya Uandishi wa Habari na anafanyakazi ICAP hapa nchini, Marina
ni mfamasia, yuko Liverpool, Uingereza na Mathew naye ni mfamasia, anafanya
kazi Liverpool.”

No comments
Post a Comment