Mkurugenzi mkuu wa Amana benki, Muhsini Masoudi akifanya mahojiano na waandishi wa habari mapema hivi karibuni katika kongamano la RAMADHANI conference. Mkurugenzi huyo amewataka watanzania kujalibu huduma za Amana benki ili waone tofauti. alisema kwa sasa benki inamiradi mingi inatekeleza hivyo kujiunga kwa wateja kutawasaidia kufaidika na miradi hiyo.
Amana Benki ni mdhamini mkuu wa Kongamao la Ramadhani Cconference.
|
No comments
Post a Comment