MBUNGE NASSAR AZIDI BORESHA MIRADI JIMBONI KWAKE SOMA HAPA KUJUA
| Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akitia saini katika kitabu cha wageni katika ofisi ya kata ya Siela Sing'isi alipotembelea katika kijiji hicho cha Sing'isi. |
| Wananchi wa vijiji vya Sing'isi na Malala wakitizama sehemu ya eneo la Shamba la Madiira lililotolewa kwa wananchi wa vijiji hivyo. |
| Wananchi wakiwa katika Shamba la Madiira kutizama mipaka ya eneo ambalo limetolewa kwao. |
| Sehemu ya Shamba la Madiira. |
| Mbunge Nassari akiwaongoza wananchi wa vijiji vya Sing'isi na Madiira wakitembelea shamaba la Madiira kutizama mipaka ya eneo la Hekari 92 lililotolewa kwao. |
| Wananchi wakiwa katika kikao cha pamoja. |
Na Dixon Busagaga wa Globu
ya Jamii Kanda ya Kaskazini
No comments
Post a Comment