HIVI NDIYO BODABODA DAR WALIUKARISHA MWAKA KWA KUWAONA MAJERUHI HUKO MUHIMBILI, MAKONGORO MAHANGA AWASIFU NA KUSEMA KUWA HILO NI JAMBO JEMA
| Hapa walikuwa wanajiandaa kwenda muhimbili na gari hili kwenda kuwajulia hali wagonjwa |
| Maandamano ya wanabodaboda wakiingia katika hospitari ya muhimbili mara baada ya kuanza safari yao toka Mnazi mmoja wakiongozwa na Mh. Mahanga. |
| Bodaboda wakishusha Zawadi ambazo wamewapelekea wagonjwa huko muhimbili, Hakika bodaboda nayo ni kazi kama kazi nyingine |
No comments
Post a Comment