Zinazobamba

BREAKING NEWS--MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS WAPATA AJALI HUKO MWANZA---ZAIDI NI HAPA

Habari zilizotufikia muda huu zinasema Msafara wa katibu mkuu wa Cuf taifa (CUF) ambae pia ni makamu wa rais wa kwanza wa rais wa Zanzibar,Maalim Seif Sharif Hamadi,amepata ajali huko mkoani mwanza
Mkurugenzi wa habari wilaya'na Mh Shido Ambae ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa miringo,wameumia vibaya na kwamba majeruhi wamelazwa hospitali ya BUGANDO

Mh.Rehema Mwenda

Habari kamili itakujia endelea kufuatilia mtandao huu,

No comments