Zinazobamba

WABRAZIRI WA YANGA WALIVYOFANYA MAUAJI HUKO ZANZIBAR

Kiungo Mbrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho kulia akimtoka beki wa Shangani katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 2-0.
Coutinho akimuacha chini beki wa Shangani

Coutinho akimzunguka beki wa Shangani

Mshambuliaji wa Yanga SC, Geilson Santana 'Jaja' akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Shangani

Winga wa Yanga SC Simon Msuba akimpiga tobo beki wa Shangani
Coutinho akimkimbiza beki wa Shangani
Kona iliyoelekezwa lango mwa Shangani, Hussein Javu akiwa ameruka na kipa wa Shangani

Haruna Niyonzima akiwatoka mabeki wa Shangani

No comments