KUUNGUA MSIKITI WA MTAMBANI--PROFESA LIPUMBA ADONDOSHA CHOZI,SOMA HAPA KUJUA
Pichani ni MWENYEKITI wa chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahimu Lipumba akiangalia mabaki ya msikiti wa Mtambani ulioungua kwa moto
MWENYEKITI wa chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahimu Lipumba amedondosha Chozi baada ya kushuhdia msikiti wa Mtambani ulivyoungua na kuteketea kwa moto na kuwataka waislam wawe watulivu katika kipindi hiki kigumu
.
Pia Atoa wito kwa Waislam popote walipo ndani na nje kusaidia Ujenzi Haraka ili watoto warudi Darasani.
Asema Madhara ni Makubwa mno, watoto wakikaa Nyumbani kwa Muda Mrefu waathirika Kisaikolojia.
Ahidi kutumia uwezo wake wote kurejesha hali ya Msikiti wa MTAMBANI katika hali yake ya zamani.
Ikumbkwe mpaka sasa hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na Jeshi la polisi kuhusu chanzo hasa cha moto huo.
No comments
Post a Comment