Exclusive: ODAMA AKILI KUTOKEWA NA MAREHEM RECHO,MTITU NAE AMTOLEA UVIVU WASTRA, ASEMA AMEMKOSEA RECHO
MTOTO mzuri
mwenye asili ya Kihaya, Jenifer Kyaka ‘Odama’ aliyesoma shule ya msingi
mkoani Kigoma kisha kuhamia jijini Dar na kupitia kozi tofautitofauti
kabla kutupa karata yake katika anga la filamu ndiyo tupo naye leo
katika
Mtoto mzuri mwenye asili ya Kihaya, Jenifer Kyaka ‘Odama’ akiwa na marehemu Recho Haule enzi za uhai wake.
Awali, hakuwahi kuwaza kama siku moja
anaweza kuwa mwigizaji, lakini baadaye upepo ulibadilika na
kujitengenezea jina la kazi, Odama. Kwenye makala haya amefunguka mambo
mengi kuhusiana na safari yake ya uigizaji, twende pamoja:
Mwandishi: Wasomaji wetu wangependa kujua historia yako kifupi?
Odama: Nilianzia masomo yangu kule Kigoma baadaye nikahamia Shule ya Msingi Mburahati, sekondari nikamalizia Moshi mwaka 2000.
Odama: Nilianzia masomo yangu kule Kigoma baadaye nikahamia Shule ya Msingi Mburahati, sekondari nikamalizia Moshi mwaka 2000.
Mwandishi: Nini kilifuata baada ya kumaliza masomo yako ya sekondari?
Odama: Nilisoma kozi mbalimbali za kompyuta kisha ndipo nikajikuta nimekita nanga katika masuala ya filamu.
Odama: Nilisoma kozi mbalimbali za kompyuta kisha ndipo nikajikuta nimekita nanga katika masuala ya filamu.
Mwandishi: Ulianzaje na nani ambaye alikuunganisha na fani hiyo?
Odama: Nilivutiwa na uigizaji ghafla, nikajiunga na Kikundi cha Kidedea, nikafanya mazoezi lakini bahati mbaya mmiliki wa kikundi hicho, Peace alifariki kikasambaratika hivyo nikawa nimepoteza uelekeo wa kisanaa.

Mwandishi: Ulifanya nini baada ya kundi hilo kufa?
Odama: Nilikaa kwa muda kisha baadaye
nilikutana na ‘camera man’ mmoja anaitwa Musa Banzi ambaye alinikuta
Holliday Inn, Posta nikiwa na rafiki yangu ndipo wakaniomba kushuti
katika kipande cha wimbo wao baada ya mtu waliyekuwa wamempanga aje
kuchelewa, baada ya kumudu uhusika vizuri katika video hiyo, kila mtu
aliyekuwepo hotelini hapo aliguswa na mimi. Wakanishauri nijikite katika
uigizaji.
Mwandishi: Wazazi wako walikupokeaje ulipoanza kujishughulisha na sanaa?
Odama: Nashukuru Mungu walinipokea vizuri, walinitia moyo na kuamini kwamba naweza kujiingizia kipato kupitia sanaa.
Odama: Nashukuru Mungu walinipokea vizuri, walinitia moyo na kuamini kwamba naweza kujiingizia kipato kupitia sanaa.
Mwandishi: Ugumu gani ulipitia kwenye sanaa?
Odama: Kujifua kwenye mazoezi pasipo kujulikana na watu kwa muda mrefu ndiyo changamoto kubwa niliyopitia. Kidogo nilianza kuona mwanga wa mafanikio nilipokutana na wasanii wenzangu kina Riyama, Shumileta na wengineo katika Kundi la White Elephant ambalo lilikuwa chini ya Banzi.

Mwandishi: Katika upande wa filamu, muvi
gani ilikuwa ya kwanza wewe kuigiza?Odama: Sikuwa muhusika mkuu katika
muvi ya kwanza kuigiza lakini ilikuwa ni Shumileta ambayo ilimpa jina
mwenzangu Jenifer Mwaipaja, kila mtu akamtambua kwa jina la Shumileta.
Mwandishi: Kwa nini majina ya umaarufu zamani yalikuwa yanazalishwa na jina la filamu?
Odama: Basi tu ilikuwa inatokea hivyo, mashabiki walikuwa wakipenda kutumia jina la filamu hususan ile ambayo umecheza vizuri na kukubalika ndiyo maana hata mimi jina langu lilizaliwa mwaka 2005 nilipocheza filamu ya Odama.

Mwandishi: Ulianza lini kujitegemea mwenyewe rasmi na kusimama katika soko la filamu?
Odama: Ilikuwa ni mwaka 2009 baada ya kufanikiwa kuanzisha kampuni yangu ya filamu, J Film 4 Life.
Mwandishi: Ulipata wapi mtaji wa kuanzisha kampuni?
Odama: Ilikuwa ni mwaka 2009 baada ya kufanikiwa kuanzisha kampuni yangu ya filamu, J Film 4 Life.
Mwandishi: Ulipata wapi mtaji wa kuanzisha kampuni?
Odama: Nilikuwa nafanya biashara zangu tu ambazo zilinipa mtaji wa kwenda kununua vifaa vyangu na kufungua ofisi.
Mwandishi :Inasemekana mapedeshee ndiyo ambao walikupa mtaji wa kufungua kampuni ya filamu, ni kweli?
Odama: Sijawahi kupewa mtaji na pedeshee, sina pedeshee aliyeniwezesha na wala sitakuja kuwa naye.
Mwandishi: Mlikutana wapi na marehemu Recho (Sheila Haule).
Odama: Recho nilikutana naye kipindi f’lani nilipokuwa nikifanya kazi na Bajomba (prodyuza) ambapo nilikutana na Lamata (muongozaji), tukakutana na Recho na kuanza kufanya naye kazi.

Mwandishi: Unakumbuka muvi ya kwanza kucheza na marehemu Recho?
Odama: Nakumbuka, ilikuwa ni muvi iliyofahamika kwa jina la Candy.
Mwandishi: Hebu tuambie mlikutana wapi na boifrendi wako wa kwanza?
Odama: Heeee! Swali gumu…anyway ni hivi….
Odama: Nakumbuka, ilikuwa ni muvi iliyofahamika kwa jina la Candy.
Mwandishi: Hebu tuambie mlikutana wapi na boifrendi wako wa kwanza?
Odama: Heeee! Swali gumu…anyway ni hivi….
Wakati huohuo,BIG boss wa Kampuni ya Five Effect,
William Mtitu amemtolea uvivu msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma kwa
kumwambia kuwa, alimkosea sana marehemu Sheila Haule ‘Recho’ kwa
kutomzika.
Akizungumza na mwandishi wetu, Mtitu
alisema marehemu Recho alikuwa mtu wa kujitoa katika matatizo mbalimbali
ukiwemo msiba wa mume wa Wastara, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ lakini
alishangaa kutomuona kwenye msibani huo na alipomchana laivu akakasirika
na kutangaza bifu.
“Nilimchana laivu kwani alimkosea marehemu, alipaswa kwenda kwani
hakuwa na sababu ya kueleweka zaidi ya kwenda bungeni kitu ambacho
angeweza kukiacha kikawakilishwa na mtu mwingine,” alisema Mtitu.Kwenye
utetezi wake juu ya kutoonekana msibani, Wastara alisema hakuwa na jinsi
kwani alikwenda bungeni mjini Dodoma kuwawakilisha wasanii wenzake.
SOURCE TUANGAZE BONGO
Hakuna maoni
Chapisha Maoni