Taswira ya Bunge la Katiba kutoka Mjini Dodoma Leo.
![]() |
| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bungeni mjini Dodoma Machi 3,2014. Kushoto ni Kingunge Ngombale-Mwiru, Kulia ni Freeman Mbowe na Wapili kulia ni James Mbatia. |
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe,
wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 3, 2014 baada ya
kusitishwa shughuli za Bunge Maalum la Katiba. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).

No comments
Post a Comment