ppf yawafunda waandishi wa habari dar, yawataka kujiunga na mfuko huo kwa faida ya baadae
| waandishi wakichukua fomu tayari kwa kujiandikisha na kupewa namba ya uwanachama na kupewa kitambulisho vyao leoleo |
| waandishi wa habari wakipokea makabrasha ya semina hiyo,jumlaya ya waandishi mbalimbali walijiunga katika semina hiyo semina hiyo |
Hatua ya kujiunga na mifuko ya PPF itawasaidia kuwezkeza kile kidogo wanachopata,hivyo kumuwezesha waandishi kujikwamua kwa kipato
No comments
Post a Comment