OGOPA MWANAMKE WA NAMNA HII KAMA UKOMA!!! PICHA ZAKE NI MBAYA USISOME KAMA HUJIAMINI

Hii leo blog yako maarufu ya Bongomail inakuletea mada hii kali,
ifuatilie hapa mwenyew
WAPO wanawake ambao hawastahili kutongozwa au hawafai mwanaume
kua na urafii nao hasa ule wa kimapenzi.
Uwezo wa kuwatambua wanawake wa namna hiyo, ndiyo
utakutofautisha mwanaume kamili na wanaume washamba wanaoparamia mapenzi.
Wanawake ambao hawafai wana sifa hizi.
1. Watafutaji
Wapo wanawake ambao wanasema kabisa kuwa hawahitaji wanaume
lakini ukweli moyoni mwake anataka kuwa na mwanaume. Ukimpata mwanamke wa namna
hii kwa kumazimisha utakipata cha moto maana yeye mapenzi kwake amekuwa kama
toashi.
2.Bikira.
Mwanamke mwenye bikra kwa wanaume wanaotaka ngono kabla ya ndoa
siyo rahisi kumpata na hata ukimpata hautafurahia mambo fulani wasababu hajui
mambo mengi ya kumsisimua mwanaume.
3.Asiyeridhika.
Kuna wanawake hata ukienda raundi za kutosha huwa hawafiki
kileleni hivyo kwa wanaume wa mwendo mmoja tarajia nyimbo na lawama ama
masimango hata ungemfanyia jambo lolote zuri.
4.Mchoyo.
Kufika kwake kileleni ni muhimu kuliko kufika wewe. Hii hutokea
zaidi kwa wanawake warembo na wazuri na wanafanya hivyo na kukataa kuendelea na
mchezo ambapo wanaume wengi kwa kubabaika kuachwa na wazuri wao hao wanawatii
kwa kinyongo.
Akitaka yeye hata kama umechoka siku hiyo lazima anakulazimisha
lakini yeye hata kama wewe umetingwa atakuambia hataki na amechoka, pia huuliza
maswali na kujijibu mwenyewe...mfano''kwani wewe bado.....mimi tayari''
Post Comment
No comments
Post a Comment