HIVI NDIVYO LOWASA SUMAYE WALIVYOWEKWA KIKANGONI DODOMA,...
Waziri Mkuu wa
Zamani Ndugu Fredrick Sumaye akiwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha
Mapinduzi Dodoma tayari kwa kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili.
Waziri Mkuu
Mstaafu Ndugu Edward Lowasa akizungumza na Waziri Mkuu wa Zamani Ndugu
Fredrick Sumaye kabla ya kuanza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili
kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma.
Ndugu William Ngeleja akisubiri kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama.
Waziri Mkuu
Mstaafu Ndugu Edward Lowasa kizungumza na waandishi wa habari baada ya
kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama
Cha Mapinduzi.
Waandishi wa
Habari wakiwajibika kuandika habari nje ya Makao Makuu ya Chama Cha
Mapinduzi ambapo viongozi watatu walihojiwa na Kamati ndogo ya Maadili.
No comments
Post a Comment