SAKATA LA KAPUYA LAIBUKIA TGNP, WANANCHI WATAKA KUJUA HATIMA YA KIGOGO HUYO, WAMTAKA POLISI D/CPL KURUTHUM KUTOA UFAFANUZI KWA NINI WANASHINDWA KUMKAMATA?
Na mwenyekiti,
Lile sakata la Mbunge wa Urambo Magharibi Juma Kapuya (CCM), anayetuhumiwa kutishia kumuua binti anayedaiwa kumbaka na kumuambukiza virusi vya ukimwi,limechukua sura mpya baada wanaharakati wa kijinsia kuwataka jeshi la polisi kutoa ufafanuzi wa hatua zilizofikia, kwani mpaka sasa bado hawana wanalojua juu ya hattima ya mtoto aliyebakwa,
Wakizungumza katika mkutano wa siku 16 uliofanyika katika viwanjwa vya mtandao wa kijinsia Tanzania (TGNP) wanaharakati hao wamesema kuna haja ya serikali kupitia jeshi la polis kuto ufafanuzi juu ya sakatala la muheshimiwa huyo anayetuhumia kufanya vitendo vya ukatili wa kijinsia huku akionekana kushindwa kukamatwa
Inadaiwa kuwa Mbunge huyo ambaye amepata kuwa waziri, aliondoka nchini hivi karibuni na alipolejea jeshi la polisi lilishindwa kumkamata pale uwanja wa ndege, hoja ambayo wananchi wanajiuliza ni kwa nini wanashindwa mtu huyo ambaye ni mtumiwa huku ushaidi ukionyesha wazi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, alipoulizwa kuhusuWakati Kapuya akitua katika uwanja huo wa ndege, polisi ambao kwa takriban wiki moja sasa wamekuwa wakitamba kutaka kumtia mbaroni mara baada ya
kutua, baadhi yao walionekana wakisalimiana naye kama vile hawakuwa wanamuwinda.
Tangu Profesa Kapuya alipoondoka nchini huku akizongwa na kashfa ya kutishia kumuua binti anayedaiwa kumbaka, polisi wamekuwa wakitamba kutakakumtia mbaroni na kuahidi kuwa mara baada ya kurejea nchini mbunge huyo angekuwa chini ya ulinzi.Blogs hii juzi liliripoti mkakati wa polisi kutaka kumtia mbaroni mbunge huyo mara atakapotua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Habari kutoka ndani ya Jeshi la Polisi ambazo blogs hii ilizipata zinasema kuwa kumekuwa na shinikizo kutoka ndani na nje ya jeshi hilo kutaka waziri huyo wa zamani ahojiwe kuhusiana na tuhuma zinazomkabili za kutishia kumuua binti anayedaiwa kumbaka na kumpambika virusi vya ukimwi.
Hatua ya polisi kutaka kumnasa Kapuya akiwa uwanja wa ndege inadaiwa kuchangiwa na taarifa ya Blogs hii wiki iliyopita kwamba baadhi ya vigogo wa jeshi hilo walishiriki kufanikisha safari ya mbunge huyo nje ya nchi huku wakijua fika anatakiwa na polisi.
ujio wa Kapuya na kisha kuendelea kuachiwa huru, alisema yuko nje ya Jiji
la Dar es Salaam na hakuwa na taarifa za kurejea kwake.
Hata hivyo Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Yusuph Mrefu, alipoulizwa kuhusu sakata la Kapuya, alisema hakuwa na taarifa ya kile kinachoendelea, kwa kuwa ndiyo kwanza amekabidhiwa ofisi.
“Mimi niambie jambo jipya, hapa ofisini ndiyo leo nimeingia kukaimu, sasa hayo mambo nitayajulia wapi, ni vema ungeniambia jambo jipya tuweze kutatua,” alisema Mrefu.
Kwa upande wake, Bunge limesema kuwa sakata la Profesa Kapuya lilifikishwa bungeni na kubaini kuwa ni la jinai, hivyo linapaswa kwenda kwenye mkondo wa kisheria.
Akizungumza na gazeti moja la kila siku, Katibu wa Bunge, Thomas Kashilila, alithibitisha kulifahamu suala hili, kwani binti aliyedai kubakwa na
kutishiwa kuuawa na mbunge huyo alikwenda bungeni wakati Bunge la 13 lilipokuwa likiendelea mjini Dodoma.
“Suala la binti huyo lilifikishwa ofisini kwangu kupitia kwa msaidizi wangu ambaye alisikiliza hoja na rai yake na kushauriwa kuwa hilo ni suala la jinai na linapaswa liende katika mkondo wa kisheria, hata hivyo binti huyo alitambulishwa kwa Spika kama kiongozi wa wabunge na kuelekeza kuwa
tumshauri alifikishe katika mamlaka husika,” alisema Kashilila.
Tayari binti anayedaiwa kubakwa na kutishiwa kuuawa ameshafungua jalada
namba OB/RB/21124/13 katika Kituo cha Polisi Oysterbay, jijini Dar es
Salaam na Jeshi la Polisi likaahidi kumkamata Kapuya popote alipo ili kujibu tuhuma hizo zinazomkabili.
Tayari makachero wa polisi wameanza kufuatilia namba ya simu inayodaiwa kutumika kumtisha binti huyo na wakati mwingine kutumika kurusha pesa kwa njia ya mtandao, zinazodaiwa kutoka kwa Profesa Kapuya kwenda kwa binti huyo.

No comments
Post a Comment