Rais Dkt. Kikwete aifariji familia ya Dkt.Sengondo Mvungi
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
nyumbani kwa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na
kiongozi mwandamizi wa chama cha NCCR Mageuzi, marehemu Dr. Sengondo
Mvungi huko Mbezi Kibamba jijini Dar es Salaam leo mchana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiifariji
familia ya Marehemu Dkt.Sengondo (picha na Freddy Maro)
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiifariji
familia na kusaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Marehemu Mussa
Hilary Samizi huko Kunduchi Tegeta jijini Dar es Salaam.Marehemu Musa
Samizi ni mtumishi wa umma mstaafu ambaye amewahi kushika nyadhifa
mbalimbali katika Chama Cha Mapinduzi CCM na Serikalini ikiwemo ukuu wa
wilaya.Marehemu anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam.(picha na
Freddy Maro).
Hakuna maoni
Chapisha Maoni