KAMPUNI YA PEPSI TANZANIA LEO HII IMEZINDUA PROMOSHENI YAKE ,AMBAPO KILA SIKU WATEJA WANAOKUNYWA VINYWAJI TOKA KAMPUNI HIYOO WATAWEZA KUJISHINDIA MAMILIONI YA SHILINGI
|
MENEJA MAFUNZO NA UWEZESHAJ BW. RASHIDI CHENJA AKIFAFANUA JAMBO KWA WANAHABARI, CHENJA AMESEMA WATEJA WANATAKIWA KUCHANGAMKIA FULSA. |
AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI, JIJINI DARESALAMMENEJA WA KITENGO CHA MAFUNZO NA UWEZESHAJI,BW. RASHIDI CHENJA, AMESEMA WAMEAMUA KULETA SHINDANO HILO AMBALO NI LA WIKI NANE ILI KUWEZA KUWAFANYA WATEJA WA VINYWAJ VYA PEPSI WAONE KUWA WAO NI KAMA SEHEMU YA KAMPUNI
AMESEMA KAMPUNI IMEONA NI VYEMA IKARUDISHA CHOCHOTE KITU KWA WATEJA WAKE IKIWA NI NJIA YA KUWAJALI NA KUTAMBUA UMHIMU WAO KATIKA SUALA ZIMA LA KIBIASHARA
NAYE KWA UPANDE WAKE MKUUU WA CORPORATE AFFAIRS BW. FOTI GWEBE-NYIRENDA AMEWATAKA WATEJA KUCHANGAMKIA PROMOSHENI HIYO ILI WAWEZE KUJISHINDDIA MAMILIONI KILA LEO,
AMESEMA ZOEZI LITAKAMILIKA RASMI SIKU YA TAREHE 22 HIVYO NI WAKATI WATU WAKACHANGAMKA ILI WASIPITWE NA FULSA KAMA HIYO, AIDHA MSEMAJI HUYO AMEONGEZA KUSEMA KUWA, MILIONI MOJA KILA SIKU NDIO ZAWADI KUBWA LAKINI KUNA ZAWADI NDONDOGO KAMA LAKI TANO KILA SIKU, ELFU KUMI NA ZAWADI YA SODA YA BURE,
AMESEMA ZOTE HIZO ZINAGHALIMU TAKRIBANI MILIONI 350 MAPAKA ZOEZI LITAKAPOKAMILIKA
|
BALOZI WA PEPSI BW. KALLAH JEREMAYA AKITAMBULISHA RASMI MBELE YA WAANDISHI WA HABARI, JEREMAYA ATAKUWA AKITANGAZA BIDHAA YA PEPSI KATIKA SHINDANO HILO |
|
MKUU WA CORPARATE AFFAIRS AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA WAANDISHI |
|
MMOJA WA WAANDISHI WA HABARI BW. CHALILA KIBUDA AKIWA NA TABASAMU BAADA YA KUFANIKIWA KUSHINDA 500,000 NA KUKABIDHIWA FEDHA HIYO HAPOHAPO |
Hakuna maoni
Chapisha Maoni