DKT MVUNGI HATUNAYE TENA, AFARIKI HUKO AFRIKA KUSINI
MKURUGENZI WA KATIBA, HAKI NA SHERIA WA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI DK SENGONDO MVUNGI AMEFARIKI DUNIA HUKO AFRIKA KUSINI ALASILI YA LEO HII AMBAKO ALIKUWA ANAPATIWA MATIBABU BAADA YA KUVAMIWA NA WATU WANAOSADIKIWA KUWA NI MAJAMBAZI
KIFO CHAKE KIMESIBITISHWA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI BW. JAMES MBATIA WAKATI AKIZUNGUMZA JIJINI DARESALAAM
Hakuna maoni
Chapisha Maoni