Zinazobamba

MKURUGENZI ASEMA PATO LA TANZANIA LIMEKUWA, NI KUTOKA 6.4 KWA ROBO YA MWAKA JANA HADI 6.7 KWA ROBO YA PILI YA MWAKA HUU

MKURUGEZNI WA IDARA YA TAKWIMU ZA UCHUMI KATIKA OFIS YA TAKWIMU BW. MORRICE N. OYUKE AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA WAANDISHI WA HABARI, KWA MUJIBU WA TAARIFA ALIYOITOA KWA WAANDISHI WA HABARI MAPEMA HII LEO, AMESEMA PATO LA TAIFA KWA ROBO MWAKA, ROBO YA PILI YA APRIL TO JUNE LIMEONGEZEKA KWA TOFAUTI YA ASILIMIA 0.3 AMBAPO  PATO LA LAIFA KWA MWAKA JANA ROBO KAMA HII LILIKUWA NI 6.4 NA SASA NI 6.7,
WAANDISHI WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAELEZO YA MKURUGENZI,
NAFAFANUAA....., MBW. OYUKE AKIFAFANUA ZAIDI, AMESEMA KWA UKANDA HUU WA AFRIKA MASHARIKI BADO NCHI YETU NI GIANT KWA UCHUMI INGAWAJE KENYA PEKEE NDIYO NCHI INAYOTUONGOZA KWA SASA


No comments