Mhudumu wa baa iliyopo maeneo ya posta jijini Dar anaswa akimnyonya maziwa mteja wake
Muhudumu wa kiume wa baa moja
maarufu iliyopo Posta Jijini Dar hivi karibuni alinaswa akifanya ufuska
kwa kumnyonya maziwa hadharani mteja wake wa kike.
Tukio hilo ambalo lilishuhudiwa
pia na wahudumu wa baa hiyo lilitendwa na jamaa huyu kwa mrembo
ambaye alionekana kunywa pombe kupita kiasi , hali iliyomfanya
asijitambue
Hakuna maoni
Chapisha Maoni