Jinsi ya kupata Mimba kwa kutumia nguvu za giza (Mitishamba )
Kabla ya ujio
wa wakoloni, babu zetu
walikuwa wakiabudu miungu
yao.Hakukuwa na dini
wala tiba za
kisasa.
Kwa kuwa IMANI
huponya, ni ukweli usiopingika
kwamba maombi yao
na tiba zao
za asili ziliwasaidia
sana katika kutimiza shughuli
zao za maisha
ya kila siku.
Yafuatayo ni mambo
machache ambayo yalikuwa
yakipatiwa ufumbuzi
kwa nguvu za
giza.
*1. Kupendwa na mpenzi
wako.*
-Ili upendwe na
mpenzi wako, unachotakiwa kufanya
ni kuweka
mbegu kavu za
nyanya kwenye kitambaa
kidogo chekundu au
rangi
ya damu ya
mzee na uwe
unaibeba kila siku
unapokutana nae au
unaweza kuiweka kwenye
pochi yake kila
unapokwenda kwake.
*2:Kujua siri zilizojificha
za mpenzi wako.*
Kama una mpenzi
au mtu ambaye
anakuficha jambo na
unataka
kulijua,chukua
viazi tisa,kata katika
shepu ya pembe
tatu kisha
weka chini ya
kitanda chako kwa
wiki moja, siri zake
utazigundua ama kwa
kuambiwa na kuoana
au yeye mwenyewe
atakwambia bila kujijua .
*3.Kupata ujauzito.*
Ili kupata mbegu
zitakazo sababisha mwanamke upate
ujauzito,weka
vipande vitatu vya
mizizi ya mihogo
chini ya kitanda
kila siku.
Kwa upande wa
mwanamke, ili ufanikiwe kumpa
ujauzito
mwanamke,kunywa
juisi ya karoti
kila siku huku
mawazo yako
yote yakifikilia suala
hilo.
--Mandai, Uwazi
No comments
Post a Comment