Zinazobamba

MULIRO AWATAKA MAAFISA USAFIRISHAJI KUDUMISHA USALAMA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Muliro J Muliro awataka Maafisa Usafirishaji kudumisha usalama wa nchi wakiwa katika majukumu yao ya Usafirishaji. 

Kauli hiyo imetolewa Oktoba 22, 2026 alipokuwa akizungumza na Shirikisho la Madereva Pikipiki Mkoa wa Dar es Salaam ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya 'ONGEA NA KAMANDA'.




No comments