Zinazobamba

BANDA LA PBPA LAWA KIVUTIO SABASABA,WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUPATA ELIMU


Na Mussa Augustine.

Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa pamoja (PBPA) umeendelea kutoa elimu kwa wananchi wanaotembelea katika Banda lao lililopo katika maonesho ya 50 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya mwalimu Nyerere Jijini Dar es es salaam.

Kauli mbiu ya maonesho ya 50 ya biashara ya kimataifa ya sabasaba 2026 

"Maonesho ya biashara ya kimataifa sabasaba fahari ya Tanzania.Maonesho hayo yameanza Juni 28, 2026 na yanatarajia kuitimishwa Julai 13,2026 katika viwanja vya mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam.

Katika maonesho  hayo Watumishi wa PBPA wameendelea kutoa elimu kwa wananchi wanaotembelea Banda lao.



No comments