Wanafunzi Chuo Cha mipango wakipatiwa elimu kuhusu kazi zinazofanywa na Tanesco
HABARI PICHA 






Wanafunzi kutoka Chuo cha Mipango pamoja na baadhi ya wananchi wakipatiwa elimu kuhusu kazi zinazofanywa na TANESCO katika uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme, pamoja na umuhimu wa matumizi ya nishati safi ya umeme kwa shughuli za kupikia na katika vyombo vya usafiri, walipotembelea banda la TANESCO kwenye Maonesho ya Utumishi wa Umma yanayoendelea jijini Dodoma.
No comments
Post a Comment