Zinazobamba

MKE WA RAIS WA SINGAPORE AJIONEA FURSA ZA KIWANDA CHA NGUO DAR


Mke wa Rais wa Singapore, Mheshimiwa Mama Jane Ittogi Shanmugaratnam, ametembelea kituo cha uzalishaji nguo za pamba zinazotengenezwa kwa mikono Msasani jijini Dar es Salaam na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika katika eneo hilo.

Akiwa katika kituo hicho, Mheshimiwa Mama Jane Ittogi Shanmugaratnam alitembelea maeneo tofauti ya uzalishaji na kushuhudia hatua mbalimbali za uchakataji wa pamba hadi kufikia utengenezaji wa nguo bora zinazozingatia bora wa hali ya juu na tunzaji wa mazingira.Mke wa RAIS Singapole

No comments