Zinazobamba

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME BAADHI YA MAENEO YA WILAYA YA BABATI


*SABABU*  Maboresho kwenye miundombinu ya umeme.

*SIKU* ALHAMISI 

            07/05/2026

*SAA 3:00 ASUBUHI*

*HADI 11:00 JIONI*

*MAENEO YANAYOATHIRIKA :-

*LAINI YA MAGUGU* :-

Changarawe, Kiongozi, Mawemairo, Matufa, Magugu, Mbuyu wa Mjerumani, Mdori, Vilima vitatu, Mwada, Minjingu na maeneo ya jirani.

Shirika linawashukuru  kwa uvumilivu na ushirikiano wenu wakati ambao huduma ya umeme itakosekana.

*Imetolewa na:-*

OFISI YA UHUSIANO TANESCO MANYARA 

06/05/2026

03:10 ASUBUHI

No comments