KUTEKWA KWA DJUMBE KWAIBUA MASWALI*

*TUMUAMINI NANI KATI YA DJUMBE ANAYEDAI KUTEKWA AU MACHA ANAYEDAI ALIKUWA NAE*
1. Macha anasema walipozuiwa na yale magari wakashuka watu takribani 6 wakawaambia sisi ni askari polisi na mpo chini ya ulinzi
Wakati Daudi Djumbe anasema walishuka watu wengi kama watano au sita wakafungua mlango wake wakamshusha aliyekuwa naye wakambeba kwa nguvu nayeye akajua utekaji akaanza kupambana nao akipiga kelele watekaji watekaji watekaji
2. Macha anasema "wakati ule wanasema mpo chini ya ulinzi, Djumbe akauliza tuko chini ya ulinzi kwa kosa gani"?.
Wakati Djumbe yeye anasema walivyomshusha mwenzake alitupwa nyuma ya buti la ProBox na kufungwa pingu
3. Tujiulize sasa kwa tunaoifahamu ProBox, inawezekana kweli mtu kutupwa nyuma ya buti na wengine kwenda kumpiga huku akiwa amefungwa pingu?.
4. Djumbe anasema walipofika alipotoroka, alijirusha kutoka kwenye buti ya proBox hadi siti ya kati na kufungua mlango kisha kutoroka
Swali, inawezekana vipi watu waliokuteka washuke wote sita wakuache mtekwaji ndani ya buti, unaruka hadi siti ya kati na hatimaye unajirusha nje na una anza ku croll wasikudhibiti?.
5. Wakati Djumbe anakamatwa kama alivyodai alikuwa amevaa suruali na fulana aliyovaa, anasema alivyo jirusha suruali ilichanika,
Swalj je ni nani aliyemvalisha kikoi cha kike ndugu Djumbe?.
No comments
Post a Comment