Zinazobamba

SERIKALI YAGAWA CHAKULA KWA KAYA ZA WANANCHI WALIOHAMA KWA HIARI TOKA NGORONGORO

 


Serikali Kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imegawa gunia 2 za mahindi kwa ajili ya Chakula kwa kaya za Wananchi waliohama kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro wiki hii. 

Utaratibu huu wa kugawa chakula bure utafanyika kila baada ya miezi mitatu kwa kipindi cha miezi 18 ijayo ili kuwawezesha wananchi hao kuzoea mazingira na kuanza shughuli za Kilimo kama wenzao waliokwishatangulia.

Hakuna maoni