Zinazobamba

TIZAMA VIDEO KUTOKA TFDA, KUHUSU UKWELI JUU YA UWEPO MCHELE WA PLASTIC,SOMA HAPO KUJUA


Hivi karibuni Jijini Dar es Salaam na sehemu nyengine Nchini kuliibuka Hofu ya Mchele unadhaniwa kuwa umetengenezwa kwa Plastic .

Leo Serikali kupitia Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA). Imewatoa hofu Watanzania kwa kusema imesema Hakuna mchele wa Plastick kutokana na Uchunguzi uliofanya na Mamlaka hiyo tangu kuinga kwa hofu hiyo Nchini.


Tazama Video Hii kisha Share na Usisahau Kus-Subcribe.
HABARI HII MSAADA WA MUUNGWANA.BLOG