WABUNGE WA UPINZANI WAGOMEWA KUFANYA MIKUTANO,SOMA HAPO KUJUA
Mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Temeke(CUF) Abdallah Mtolea, uliopangwa kufanyika leo umezuiwa na Jeshi la Polisi kutokana na sababu zisizofahamika.
Mtolea akizungmza na Mwandishi wa Muungwana kwa njia ya ujumbe mfupi na kuthibisha kuwa Mkutano huo aliolenga kuzungumza na wananchi wa jimbo lake leo umezuiliwa leo na kueleza kuwa kikao hicho kilichopangwa kufanyika leo kimezuiwa.
Mtolea alithibitisha kikao hicho kitafanyika na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, atahudhuria.
hata hivyo jana mkutano uliondaliwa na Katibu wa CUF wilaya ya Kinondoni, Juma Nkumbi, ulivamiwa na watu wenye silaha waliovalia maski na waandishi kadhaa walijeruhiwa katika tukio hilo.
Mtolea akizungmza na Mwandishi wa Muungwana kwa njia ya ujumbe mfupi na kuthibisha kuwa Mkutano huo aliolenga kuzungumza na wananchi wa jimbo lake leo umezuiliwa leo na kueleza kuwa kikao hicho kilichopangwa kufanyika leo kimezuiwa.
Mtolea alithibitisha kikao hicho kitafanyika na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, atahudhuria.
hata hivyo jana mkutano uliondaliwa na Katibu wa CUF wilaya ya Kinondoni, Juma Nkumbi, ulivamiwa na watu wenye silaha waliovalia maski na waandishi kadhaa walijeruhiwa katika tukio hilo.
WABUNGE WA UPINZANI WAGOMEWA KUFANYA MIKUTANO,SOMA HAPO KUJUA
Reviewed by Unknown
on
18:53:00
Rating: 5