Zinazobamba

Ma RC, DC wa Agizwa Kuhakikisha Wanachukua Hatua Dhidi ya Tatizo la Watoto Waishio Katika Mazingira Hatarishi nchi



 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akizindua kitabu cha Mwongozo wa Taifa wa Utekelezaji waSera za Huduma kwa watoto waliokatika mazingira hatarishi kwa Serikali za Mitaa leojijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Misaada na Maendeleo la Marekani (USAID) nchini Tanzania Tim Donnay,


Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Theresia Mmbando, Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Zainab Chaula na Msaidizi wa Waziri wa Nchi TAMISEMI Bi.Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Theresia Mmbando akimkabidhi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kitabu cha Mwongozo wa Taifa wa Utekelezajiwa Sera za Huduma kwa Watoto waliokatika mazingira hatarishi kwa Serikali za Mitaaleo jijini Dar es Salaam. 
 

 Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa

na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Andrew Komba akichangia mada wakati wa

mkutano baina ya TAMISEMI na USAID kuhusu Afya ya mama na motto leo jijini Dar es

Salaam.




Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

George Simbachawene akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Misaada na

Maendeleo la Marekani (USAID) nchini Tanzania Tim Donnay mara baada ya kumaliza

mkutano kuhusu Afya ya Mama na Mtoto leo jijini Dar es Salaam.




Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja washiriki wa mkutano baina ya

TAMISEMI na USAID kuhusu Afya ya mama na mtoto leo jijini Dar es Salaam.Kutoka

Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Dkt. Mpoki, Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Misaada na Maendeleo la Marekani (USAID)

nchini Tanzania Tim Donnay, Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na

Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Zainab Chaula na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es

Salaam Theresia Mmbando.