Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni akiwa na Kamishna Mkuu wa
Magereza John Casmir Minja kabla ya kuongea na maafisa na askari wa Jeshi la
Magereza alipofanya ziara ya kustukiza katika Gereza la Ukonga jijini Dar es
salaam leo Novemba 29, 2016
|