RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI HUU,SOMA HAPO KUJUA
John Magufuli, Rais wa Tanzania |
RAIS
John Magufuli leo amemteua Jaji Ferdinand Wambali kuwa Jaji
Kiongozi, .
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari
mchana huu na Gerson Msigwa, Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
imeeleza “Jaji Wambali anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Shaaban Ally
Lila aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa.”
Kabla ya uteuzi
huo, Jaji Wambali alikuwa Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto, mkoani
Tanga.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni