JUKWAA LA KATIBA WAANZA KUUFUFUA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Baada
ya kimya cha muda mrefu kuhusu sakata la Kupatikana kwa katiba Mpya
Hatimaye jukwaa la katiba Tanzania wametangaza Rasmi kurejesha mchakato huo
upya ili kuamsha uwezekano wa Serikali kuanza tena mchakato huo ambao
uneonekana kusahaulika na wahusika.
Mwenyekiti
wa Jukwaa la katia Tanzania DEUS KIBAMBA amesema kuwa wamemua kusaidia
kuanzisha ambapo wameanza kampeni mpya inayolenga kufufua mchakato wa katiba
mpya baada ya kugundua mchakato huo ulijisimamisha wenyewe na sasa unasubiriwa
uanze tena wenyewe
Mwenyekiti
wa Jukwaa la katia Tanzania DEUS KIBAMBA amesema kuwa wamemua kusaidia
kuanzisha ambapo wameanza kampeni mpya inayolenga kufufua mchakato wa
katiba mpya baada ya kugundua mchakato huo ulijisimamisha wenyewe na
sasa unasubiriwa uanze tena wenyewe.. - See more at:
http://habari24.blogspot.com/#sthash.STyJfmjC.dpuf
Hakuna maoni
Chapisha Maoni