Zinazobamba

TWCC CHAWAFUNDA WAFANYABIASHARA WANAWAKE, WAWAPA MBINU ZA KUONGEZA KIPATO




Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wanawake Tanzania (TWCC) Jacqueline Mneney Maleko akifafanua jambo kwa wajasiliamali  katika semina  maalum ya kuwajengea uwezo iliyofanyika Jijini Daresalaam.


Mtalaam kutoka chama cha wanawake wafanyabiashara Tanzania (TWCC) akifafanua jambo kwa wanachama kuhusu semina ya siku 7 inayoendelea Jijini Daresalaam. Semina hiyo imelenga kuwajengea uwezo wafanyabiaashara hao ili waweze kuuza bidhaa zao kwa faida

Mkurugenzi mtendaji wa chama cha wafanyabiashara wanawake Tanzania (TWCC) Flora Rimoy akizungumza na wafanyabiashara hao katika semina hiyo. Mkurugenzi huyo amesema wafanyabiashara hao wanabidhaa nzuri lakini changamoto kubwa wanayokutana nayo ni kukosa ubunifu wa kufanya biashara zao kuonekana bora na hivyo kuwaongezea faida

Mtaalamu kutoka Uganda akiwasillisha mada katika Mkutano huo.


Sehemu ya Wajasiliamali wakisikiliza semina hiyo

Mfanyabiashara anayemiliki Kiwanda akifanya mahojiano na wanahabari hivi Karibuni

Hakuna maoni