Baada ya kuwepo kwa mvutano mkali kati ya serikali na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) 25 Novemba 2015 mwaka jana juu ya nauli za mabasi yaendayo haraka na kupelekea Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuingilia kati hatimaye leo Mei 9 nauli hizo zimetangazwa rasmi.
2. TRUNK Sh. 650/= Ni pale utakapokuwa umepanda Basi la DART linalopita kwenye Njia maalumu.Mfano Kuanzia Kimara – Kivukoni, Kimara- Kariakoo, Moroco – Kivukoni, Morocco – Kariakoo. Hii haijalishi unapita vituo vingapi au unashukia kituo gani kama ilivyo kwenye Daladala.
3. Feeder Sh. 400/= Ni pale utakapo panda Basi la DART ambalo linafanya kazi nje ya Mfumo (Barabara Maalum za DART). Mfano Kimara – Mbezi.
4. Trunk/Feeder sh. 800/= hapa ni pale utakapo tumia Aina zote za Usafiri Kwa kuunganisha Mfano Mbezi Kimara Halafu Kimara Posta.
NAULI ZA MABASI YAHARAKA JIJINI DAR NI HII HAPA,USAFIRI HUO KUANZA RASMI KESHO,SOMA HAPO KUJU
Reviewed by Unknown
on
16:08:00
Rating: 5
Hakuna maoni
Chapisha Maoni