Zinazobamba

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA CHIKAWE KUWA BALOZI,SOMA HAPO KUJUA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Magufuli amemuapisha Balozi wa Tanzania nchini Japani asubuhi hii  Mhe.Mathias Chikawe Ikulu jijini Dar es Salaam.

==>Tazama video hii kuona akila kiapo
 ;

Hakuna maoni