MBUNGE KUBENEA AKAMATWA,NI MWENDELEZO WA POLISI KUPAMBANA NA VIONGOZI WA UPINZANI NCHINI,SIRI YA KUKAMATWA KWAKE YAVUJA NI HII HAPA,SOMA HAPO KUJUA
Saed Kubenea, Mbunge wa jimbo la Ubungo
SEAD Kubenea Mbunge wa Ubungo amekamatwa na Jeshi la
Polisi leo asubuhi wakati akiwa katika Mahakama ya Mkazi Kisutu, jijini Dar es
Salaam, anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo
Kubenea
amekamatwa na polisi akituhumiwa kushiriki
kushisha vurugu kwenye uchaguzi wa
Meya wa Jiji la Dar es Salaam
Kubenea
amemueleza Mwandishi wa Habari hii baada
ya kumuona tena mahakamani Muda Mchache baada ya kusikia kuwa amekamatwa,
Kubenea alijibu kwa ufupi kuwa ni
"kweli nimekamatwa na hapa bado nipo chini ya ulinzi baada ya mwakili wangu kuiomba polisi waniachie kwa muda ili nihudhulie kwenye kesi ambayo natuhumiwa na Poul Makonda Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Baada ya kumalizika kwa kesi inayomkabili"
Waandishi walimtaka Kubenea aeleze kinachoendelea ambapo amesema
Kubenea alijibu kwa ufupi kuwa ni
"kweli nimekamatwa na hapa bado nipo chini ya ulinzi baada ya mwakili wangu kuiomba polisi waniachie kwa muda ili nihudhulie kwenye kesi ambayo natuhumiwa na Poul Makonda Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Baada ya kumalizika kwa kesi inayomkabili"
Waandishi walimtaka Kubenea aeleze kinachoendelea ambapo amesema
“Narudi
Makao Makuu ya Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwani nina tuhumiwa
kuanzisha vurugu” amesema Kubenea
Kubenea
amesema kuwa alikamatwa leo Saa Tatu asubuhi na Askari Sita alipokwenda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisuti kwenye kesi inayomakabili nahakamani hapo.
Kubenea
amesema kuwa Askari hao walikuja mahakamani hapo kwa kudai kuwa wameagizwa
kumkamata kwa tuhuma za kuhusika kwenye kuanzisha vurugu kwenye uchaguzi wa
Meya ulikuwa haujakamilika.
Kubenea
amesema kuwa kukamatwa kwake ni njama za zilizopangwa na Serikali ya Chama
Chama Mapinduzi kutokana na kugundua kwake kwa hati ya kughushi ya Zuio la
mahakama lililotengenezwa na CCM ambalo ni Bandia
Baada
ya kumalizika Kwa kesi Kubenea Alirudi Mahakamani
UCHUNGUZI WA BAINIKA,
Kwa mujibu wa vyanzo vya kauminika kutokana ndani ya
CCM ambazo mtandao huu umezipata zinasema hatua ya jeshi la Polisi kuwakamata madiwani na Wabunge wa UKAWA
ni njama za kutaka kushinda kirahisi uchaguzi wa Meya wa jiji ambao unatarajiwa
kufanyika wakati wowote toka sasa,
“Yaani hili Jeshi la Polisi linafanya kazi ya
ukatibu uenezi wa CCM,kwani aliyefoji hati ya mahakama yupo nje ajakamatwa,na hapo
wanachokifanya kama njia waliotumia CCM kushinda Halmashauri ya kilombero walitumia njia
ya kuwakamata Wabunge na Ukawa siku ya kupiga kura ili akidi ipingue na kuisadia CCM ishinde kirahisi “
Hakuna maoni
Chapisha Maoni