IKULU YA MAGUFULI YATOFAUTIANA NA WAZIRI MHAGAMA NI KUHUSU UTEUZI WA DKT WANGWE NSSF,SOMA HAPO KUJUA
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe akifafanua jambo kwa wajumbe wa bodi wa shirika hilo (hawapo pichani ) kabla ya uteuzi huo kutenguliwa.
Masaa kadhaa baada ya uteuzi huo, Waziri mhagama alitangaza kutengua uteuzi huo kwa madai kwamba kuna baadhi ya taratibu hazijamilika
Hakuna maoni
Chapisha Maoni