Zinazobamba

DOKTA SLAA AZIDI ZAMA,DHAMBI YA UASI YAZIDI MTAFUNA,MARAFIKI ZAKE WA KANISA KATOLIKI WAAPA KUJITENGA NAE,SOMA HAPO KUJUA



 

HATUA ya  Wilbroad Slaa ambaye aliyekuwa Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  kufunga ndoa na mchumba wake siku nyingi Josephine Mushumbusi tofauti na  Kanisa Katoliki kumemfanya Dkt Slaa kutengwa na marafiki zake .(Mtandao huu umelezwa)Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo

Dokta Slaa ambaye alijuzulu nafasi yake uongozi ndani ya chadema Semptemba Mwaka jana kutokana na kutorizika na ujio wa Edward Lowassa  aliokuja kugombea Urais kupitia Chadema,ambapo inaelezwa kuwa alifunga ndoa jana kwenye Kanisa moja ambalo si la Kanisa Katoliki huko nchini Canada.

Awali Dokta Slaa kabla ajajiingiza kwenye masuala ya Siasa alikuwa Padri wa Kanisa Katoliki.ambapo imebainika kitendo cha Mtawa huyo wa zamani kufunga ndoa nje ya kanisa Katoliki kumewachukiza Marafiki zake walioko ndani ya Kanisa Katoliki na wametishia kuachana nae kwa madai ya kulifedhehesha Dhehebu ilo.

Akizungumza na Fullhabari.blog kwa sharti ya kutotaka kutajwa jina lake mtandaoni. Paroko wa Kanisa moja  Katoliki lilopo Jimbo kuu la Dar  Salaam, ambaye pia alikataa kutajwa  Parokia anayotoka ameuambia mtandao kuwa marafiki zake wengi Watawa kwasasa wanajitenga nae kabisa.

“Yaani kuhama Dhehebu ni uhuru wa mtu.lakini kwa mtu kama Dokt Slaa mbaye ameheshimika sana leo ameamua kutufedhehesha na kwenda kufunga ndoa kwenye makanisa mengine,ninachoona ni ametuletea doa kwenye dhehebu letu,nakuhakishia hata wale marafiki zake wote alikuwa nao ndani ya kanisa katoliki wameshajitenga nae ameonekana ni mtu wa kimamluki sana”amesema

Akizungumza kwa Uchungu Rafiki yake huyo wa Dokta Slaa ameendelea kusema aina ya  watu hiyo ni wakuogopwa kwenye Jamii ,
“Ninachokwambi mtu umeminikwa kuongoza kondoo wake,harafu unaasi kuwatumikia hao Kondoo kwa kutafuta maisha ya Kimataifa basi mtu huyo si wa kuaminiwa ni wakugopwa kwenye Jamii,ila inahitajika sara na maombi atoke kwenye mambo ya Dunia”amesema mtawa huyo.
Kufunga ndoa huku kwa Dokta Slaa kunakuja ikiwa ni wiki chache kupita  Kabla ya watu wanaoitwa vigogo kutoka Ikulu kuja kumgombea Nyumba yake iliyokuwa imeuzwa kwa mnada kutokana na kudaiwa pesa kutoka kwenye Benki moja hapa jijini,
Ambapo ilidaiwa Benki hiyo ilifikia hatua ya kuuza nyumba hiyo kwa mfanyabiashara maarufu nchini ambaye amekuwa kitajwa kwenye Bendi mbali mbali nchini,

Hakuna maoni