LOWASSA AENDELEZA MOYO WAKE WA UPENDO KWA WAISLAM,TIZAMA ALICHOFANYA LEO,BOFYA HAPO KUJUA
WAZIRI mkuu mstaafu Edward Lowassa ambaye pia alikuwa mgombea wa Urais wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo Chadema leo amemjulia hali mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry
ambaye amelazwa katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam.
Hichi ndicho alichokiandika Lowassa kupitia mtandao
kwenye mitandao ya kijamii mara baada ta kumjulia hali kiongozi huyo wa kiroho,
“Leo hii nikimjulia hali mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry
ambaye amelazwa katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam,
Natanguliza maombi Mungu amsaidie kupona haraka ili arejee katika shughuli zake za kila siku”
Natanguliza maombi Mungu amsaidie kupona haraka ili arejee katika shughuli zake za kila siku”
Hakuna maoni
Chapisha Maoni