MAWAZIRI WA KIKWETE WANAZIDI TEKETEA MAJIMBONI MWAO,MWENGINE TENA AANGUKA,SOMA HAPON KUJUA
WIMBI
la mawaziri wa Jakaya Kikwete kuanguka majimbo kwao linashika kasi baada ya
sasa Naibu Waziri Naibu waziri wa nchi
ofisi ya waziri mkuu Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Aggrey
Mwanri kuanguka rasmi kwenye nafasi ya
Ubunge aliokuwa nao kwenye jimbo la uchaguzi jimbo la Siha,
Baada ya kubwagwa vibaya na mgomba wa
Ubunge kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema D Moller ambaye
amepata kura 22,746 huku Mwanri akimbulia kupata kura 18,584 ,
Kuanguka kwa waziri
Mwanr kunazidi ongezeka wimbi la mawaziri wa Kikwete kuanguka baada ya Waziri
wa kilimo,chakula na ushirika Stiven Wasirra pamoja na Waziri Christofa Chiza
ambaye naye ameanguka
ENDELEA KUFUATILIA FULLHABARI.BLOGS
UTAOATA TAARIFA KAMILI
Hakuna maoni
Chapisha Maoni