CHADEMA YAONGOZA KATA 26 MBEYA,SOMA HAPO KUJUA
HATIMAYE jiji
la Mbeya linatarajiwa kuongozwa na Wapinzani baada ya Chama cha Demokrasia na
maendeleo chadema kushinda kata 26 huku kata nane zimechukuliwa na chama cha
Mapinduzi CCM huku kata moja imehairishwa kutokana na Mgombea wa Udiwani
kufariki Dunia
No comments
Post a Comment