BREAKING NEWS,LOWASSA AVUNJA UKIMYA,AIBUKA NA KUYAPINGA MATOKEO WAZI WAZI,SOMA HAPO KUJUA
MGOMBEA wa Urais kupitia chama cha Demokrasia na
Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na vyama vya Ukawa,Edward Lowassa ameibuka na kusema
hakubaliani na matokeo yanayotangazwa na Tume ya Taifa ya uchaguzi Nec kwa
kusema yamechakachuliwa ili kumbeba mgombea wa chama cha Mapinduzi CCM, John
Magufuli.Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo
Akizungumza na waandishi wa habari mda huu makao
makuu ya ofisi za Ukawa yaliyopo Kawe Jijini dare s Salaam,Lowassa huku akingumza kwa uchungu amesema Nec
imefanya makusudi kuchakachua matokeo
yake huku akidai wameshirikiana na CCM kuyachakachua matokeo kwa agenda zao
binafsi.
Lowassa
ameyataja maeneo ambayo anadai NEC imefanya uchakachuaji wa wazi ni kwenye
majimbo ya Tunduma,Ubungo,Tandahimba,Bumbuli,simanjiro,kahamamjini,kigamboni,iringa kwa kusema maeneo yaliyopo kwenye vituo
vya kupiga kura ni tofauti na yanayotangazwa na Tume.
ENDELEA KFUATILIA FULLHABARI .BLOG UTAPATA TAARIFA
KAMILI.
Maoni 1
KUCHUNGA NG'OMBE KUMBE KAZI
Chapisha Maoni