TUKIO KUBWA LEO-MICHUANO YA FA YAREJEA NCHINI,AZAM MEDIA YATIA MKONO,SOMA HAPO KUJUA
Rias wa TFF Jamal Malinzi kuria pamoaja na Afisa Mtendaji Mkuuwa Azam Media, Rhys Torrington wakikabidhiana mkataba wa kuanza michuano ya Ligi Ya FA |
SHIRIKISHO
la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa kushirikiana na Azam Media wameanzanisha
michuano ya Mpira miguuu itakayojulikana kwa “Azam Sports Federation Cup” .Anaandika KAROLI VINSENT endelea
nayo.
Michuano hiyo ambayo itatumia mfumo wa michuano
maarufu nchini Uengereza ya FA pamoja na michuano kama hiyo pia ya Copa del Reyya nchini Hispania.
Akizindua Mashindano hayo mapya kabisa. wakati
wa Halfa fupi iliyofanyika mda hii Jijini dare s Salaa na kushuhudiwa na viongozi mbali mbali wa Kampuni
ya Azam Media ,wamiliki wa timu za mpira nchini kutoka madaraja yote pamoja na Rais wa Shirikisho la Mpira nchini Jama
Malinzi na kushuhudiwa pia na waandishi wa Habari ,
Ambapo Malinzi amesema michuano hiyo itazishirikisha timu mbalimbali ikiwemo za LigiKuu
ya Vodacom na timu madaraja mengine mawili ya chini na kufanya idadi ya timu
kufikia 54
Malinzi amesema michuano hiyo ya FA
itakuwa na msisimuko mkubwa nchin na itakuwa na lengo kubwa la kuinua Soka
ambalo amedai limeshuka kutokana na ligi kuu kukosa timu nyingi,
Amesema Michuano hiyo itakuwa chachu
katika kuleta msisimuko wa watanzania kwani kwa kipindi kilefu wamekuwa
wakitaka michuana kama hiyo ambayo inashirikisha timu za Ligi kuu pamoja na
ligi daraja la kwanza na la pili ili kuleta hamasa katika mikoa ambayo haina
timu inayoshiriki ligi kuu.
MSHINDI WA MICHUANO HIYO.
Akizungumia
kuhusu mshindi wa michuano hiyo ambapo Malinzi amesema Timu itakayochukua kombe hilo itachukua pesa za
Kitanzania Milioni 50 pamoja na kupata nafasi ya kushiriki moja kwa moja kwenye
michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,
Amesema endapo
timu ambayo ipo ligi kuu na kushika nafasi ya 1 kwenye msimamo wa Ligi na pia endapo
ikifanikiwa pia kulichukua kombe la FA basi nafasi hiyo itapewa na Timu ambayo
itaingia Fainali kwenye michuano ya FA.
Kwa Upande
wake Afisa Mtendaji Mkuuwa
Azam Media, Rhys Torrington amesema nia ya Kampuni yake kudhamini michuano
hiyo ni kutaka kukuza mpira nchini kwa kutaka kufikia malengo,
Amesema
licha ya Kudhamini Michuanao hiyo kwa kipindi cha Miaka 4,pia michuano hiyo
itarushwa moja kwa moja kupitia Vituo vya TV vya Azam Media.
Udhamini huyo
ambao umegharimu bilioni 3.3 kwa kila mwaka.
TIMU
ZITAKAZOSHIRIKI HIZI HAPA
17-24 RED TEAMS
1.
PANONE FC – KILIMANJARO
2.
POLISI DAR-ES-SALAAM
–DAR-ES-SALAAM
3.
POLISI – DODOMA
4.
POLISI MARA –MARA
5.
POLISI MOROGORO –MOROGORO
6.
POLISI TABORA –TABORA
7.
RHINO RANGERS – TABORA
8.
RUVU SHOOTING – PWANI
9.
MVUVUMA FC – KIGOMA
10.
PAMBASC – MWANZA
11.
SABASABS UNITED FC – MOROGORO
12.
SINGIDA UNITED – SINGIDA
13.
TRANSIT CAMP –
DAR-ES-SALAAM
14.
TOWN SMALL BOYS – RUVUMA
15.
VILLA SQUAD – DAR-ES-SALAAM
16.
WENDA SC – MBEYA
1-16 BLUE TEAMS
1.
ABAJALO FC –
DAR-ES-SALAAM
2.
ABAJALO FC – TABORA
3.
AFC – ARUSHA
4.
ALLIANCE SCHOOLS FC –
MWANZA
5.
CHANGANYIKENI –
DAR-ES-SALAAM
6.
COCACOLA KWANZA FC
–MBEYA
7.
COSMOPOLITNI FC –
DAR-ES-SALAAM
8.
GREEN WORRIORS FC
–DAR-ES-SLAAM
9.
JKT RWAMKOMA FC
10.
KARIAKOO SC – LINDI
11.
MADINIS SC –ARUSHA
12.
MAGEREZA –IRINGA
13.
MKAMBA RANGERS FC –
MOROGORO
14.
MILAMBO SC – TABORA
15.
MSHIKAMANO SC –
DAR-ES-SALAAM
16.
BULYANHULU FC –
SHINYANGA
Hakuna maoni
Chapisha Maoni