HABARI KUBWA LEO,ASKOFU GWAJIMA AMWACHA MTUPU DK SLAA NA USALAMA WA TAIFA WAKE,TIZAMA VIDEO HIZI KUJUA
Askofu Josephat Gwajima amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu Tuhuma alizopewa na aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa
Video ya kwanza: Gwajima akisimulia alivyojuana na Dr Slaa.
Video ya Pili: Mchungaji Gwajima asema Urafiki wao ulianzia pale Dr. Slaa alipomuomba walinzi kutoka kanisani akihofia kulindwa na polisi.
Video ya 3: Mchungaji Gwajima amesema kauli za Dr. Slaa kuhusu ujio wa Lowassa CHADEMA si za kweli akibainisha kuwa aliyemtaka Lowassa ni Dr. Slaa.
Video ya 4: Mchungaji Gwajima amethibitisha kwa kumwita mlinzi wake atoe ushahidi kuwa Dr. Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kumkaribisha Lowassa ndani ya CHADEMA.
Video ya 5:Gwajima akionyesha vielelezo vya mazungumzo yake na Dk.Slaa alipotupiwa mabegi nje na mkewe.
Video ya 6:Wachungaji waeleza namna mke wa Dk.Slaa alivyokuwa na mchango mkubwa wa maamuzi ya Dk.Slaa
Video ya 7: Gwajima amehitimisha kwa kutoa ujumbe mzito kwa usalama wa taifa
kwahisani ya
Mpekuzi blog
Maoni 2
Baba Gwajima Mungu akulinde, wewe ni shujaa sana. Akuna kama wewe
Duu aloo huyu ni jembe haogopi kitu, wangepatikana kama huyu kumi nchi ingenyooka.
Chapisha Maoni