Babu DUNI alichokifanya huko LINDI
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwasili katika jimbo la Mtama katika mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani Lindi ambapo katika hoyuba yake aliwaambia wananchi wa mkoa wa Lindi kuwa endapo serikali ya Ukawa itaingia madarakani itaboresha bei ya ufuta na korosho ili kuwanufaisha wakulima wa zao hilo.
(Picha na Francis Dande)
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi |
Mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Habib Mnyaa akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Mbunge wa Lindi mjini akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, John Guninita akizungumza wakati wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mfuasi wa Ukawa wakati alipowasili katika mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Wafuasi wa Ukawa wakishangilia.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema,Juma Duni Haji akiteta jambo na mbunge wa Mkanyageni, Zanzibar, Habib Mnyaa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mtama mkoni Lindi
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema,Juma Duni Haji akiteta jambo na mbunge wa Lindi mjini, Salum Barwani wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mtama mkoni Lindi
Wafuasi wa Ukawa wakiwa na mabango yao.
Wafuasi wa Ukawa wakishangilia.
Wafuasi wa mgombea wa Ukawa jimbo la Mtama kupitia Chadema, Seleman Mathew wakimsindikiza mgombea huyo huku wakiwa juu ya gari yake wakati akiwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Sokoni mkoani Lindi, uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji.
Wafuasi wa mgombea wa Ukawa jimbo la Mtama kupitia Chadema, Seleman Mathew wakimsindikiza mgombea huyo.
Wafuasi wa mgombea wa Ukawa jimbo la Mtama kupitia Chadema, Seleman Mathew wakimsindikiza mgombea huyo huku wakiwa juu ya gari yake wakati akiwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Sokoni mkoani Lindi, uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji.
Mgombea ubunge wa Ukawa jimbo la Mtama, Suleiman Mathew kupitia Chadema akiwa amebebwa juu na wafuasi wake wakati akiingia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Sokoni mkoani Lindi, uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji.

Mfuasi wa Ukawa akishangilia wakati wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni