MAJANGA MENGINE TENA TANZANIA,WACHIMBA DHAHABU WAFARIKI DUNIA,SOMA HAPA KUJUA
Wachimbaji
wadogo wadogo wapatao 20 wa dhahabu katika machimbo ya madogo yaliyopo kwenye
kijiji cha Kalole kata ya Runguya tarafa ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani
Shinyanga, wamedaiwa kufariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi kufuatia mvua
zinazoendelea kunyesha maeneo hayo.
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha amesema kuwa usiku wa kuamkia leo kuna wachimbaji ambao walivamia machimbo hayo ambayo yaliachwa kuchimbwa muda mrefu na ndipo wakaanza shughuli ya uchimbaji kutokana na machimbo hayo kuonekana kutokuwa uimara na mvua iliyokuwa ikinyesha ndipo mashimo hayo yakaporomoka na kuwafukia na kusababisha vifo vyao.

HABARI KAMILI ITAKUJIA
No comments
Post a Comment